SEMINA YA MABADILIKO YA KIFIKRA NA KIUCHUMI


Waalimu Watakaofundisha Semina Hii

Lazaro Samweli

 Ni Mhamasishaji,Mjasiriamali na Mwandishi wa Kitabu Cha NGUZO 3 ZA MAISHA

Lakini pia ni Mwanzilishi Na Mwongozaji wa Kundi La Be Rich And Happy ambalo limejikita katika kubadilisha Fikra za watu Kuelekea katika Maisha Ambayo Wengi huwa wanatamani kuishi.

ATAFUNDISHA SOMO LA KUJITAMBUA
Mawasiliano

Simu:0753616586

Barua pepe: lazarosamweli41@gmail.com

Blog:www.mindsetcreator.blogspot.com

Malumbo Sambala

Mwalimu wa Neno la Mungu
Mhamasishaji na Mwandishi

Pia ni Mwanzilishi wa huduma inayoitwa KGIM (Kingdom of God international Ministries) lakini pia ni mwongozaji wa vikundi vinavyohitwa Learning Zone na Become Yourself.

ATAFUNDISHA SOMO LA MALENGO NA JINSI YA KUTAMBUA KIPAJI

Mawasiliano

Simu: 0655796353

Barua pepe: sambalamalumbo@gmail.com
Blog www.malumbosalambaministry.blogspot.com

Joas Yunus(Jyb)

Mwandishi na Mjasiriamali.

Mwongozaji wa kikundi cha wanamafanikio kiitwacho Kijana Jithamini.

Mwandishi wa Kitabu cha "INUKA" .

 

ATAFUNDISHA SOMO LA UJASIRIAMALI

Mawasiliano.

Simu: 0656110906

Barua pepe : yunusjoas@yahoo.com
Blog: www.kijanajithamini1.blogspot.com

Jacob Mushi

Mwandishi na Mjasiriamali.

Mwandishi wa Kitabu kiitwacho Siri 7 za Kuwa Hai Leo.

Ana andika makala za Kuhamasiha na Kufundisha kila wiki kwenye Blog Yake
Anaongoza kikundi cha Wanamafanikio Kijulikanacho kama Success Kingdom.

ATAFUNDISHA SOMO LA MAONO

Mawasiliano.
Simu: 0654726668
Barua pepe: jcobtz@gmail.com
Blog: www.mushijacob.com

.

© 2016