KARIBU UJIUNGE NA MTANDAO WA AMKA MTANZANIA.

AMKA MTANZANIA ni mtandao unaokupa mafunzo na maarifa ya kuweza kushika hatamu ya maisha yako.

Kupitia mtandao huu utapata maarifa na mafunzo yatakayokuwezesha kuchukua hatua na kufikia mafanikio makubwa kwenye Kazi, Biashara na Maisha kwa ujumla.

Jaza taarifa zako hapo chini kupokea maarifa na mafunzo moja kwa moja kwenye email yako.

Jifunze Kuongeza kipato.

Kupitia mtandao huu wa AMKA MTANZANIA utajifunza mbinu mbalimbali za kuongeza kipato chako.

Jifunze Uandishi.

Kwenye AMKA MTANZANIA pia utajifunza mbinu za uandishi na kuweza kutengeneza kipato kupitia uandishi.

Badili fikra na mtazamo

Upo  hapo ulipo sasa kutokana na fikra zilizotawala akili yako. Kupitia AMKA MTANZANIA utaweza kubadili fikra zako.

Kuwa mshindi.

Kwa maarifa utakayopata kwenye AMKA MTANZANIA utaweza kuwa mshindi kwenye kila jambo unalofanya.

Jifunze kuweka akiba na kuwekeza.

Kupitia AMKA MTANZANIA utajifunza kuweka akiba na hata kuwekeza ili kuweza kufikia uhuru wa kifedha.

Soma Vitabu

Usomaji wa vitabu ni muhimu kwa mafanikio. Kupitia AMKA MTANZANIA utapata hamasa ya kusoma vitabu, vitabu vya kusoma na uchambuzi wa vitabu.

Kupata hayo mazuri na mengine mengi, jaza fomu hapo juu na jiunge na AMKA MTANZANIA. Tutakuwa pamoja kwenye safari hii ya mafanikio kwenye maisha yetu.